Ndugu mtazamaji na msomaji wa habari zangu ikiwemo hii ya leo, kwanza nikupongeze sana kwa kuendelea kuniunga mkono kadri ya uwezo wako.
Leo nakuja na kisa kinacho husu mali za Serikali. Kulingana na jinsi tukio linavyo jieleza kwenye picha hapo juu, je ninani anastahili kunyooshewa kidole? Maana
Zote ni mali za Serikali, naistoshe wanyama wote kama huyu tembo, simba, kiboko, nyoka pamoja na wengineo wengi hawaruhusiwi kabisa kubug'udhiwa.
Ndugu mpendwa msomaji wangu napenda utambue ya kwamba, habari au tukio hili halikutokea hapa nchini kwetu, bali nitukio ambalo limetokea katika nchi za majirani zetu.
Mwisho kabisa nikwamba unaweza kumshirikisha na mwenzako, na pia kumbuka kutoa maoni yako juu ya Habari hii.