Hospital ya wilaya ya Kasulu inalazimika kulaza wagonjwa zaidi ya mmoja kwenye kitanda kimoja. hii imebainika baada ya mahojiano yetu na daktari mkuu wa hospital hiyo, amesema ya kwamba wanajikuta wakilazimika kufanya hivyo kwa sababu ya ongezeko la idadi kubwa ya wagonjwa. Daktari huyo anaendelea kwa kusema kwamba kwasiku wanapokea idadi ya watoto zaidi ya 100 ambao wote ni wagonjwa, kwaiyo serikali haina budi kuongeza jitihada zaidi ili kupunguza tatizo hili kama sio kulimaliza kabisa.
Loading...
Hospital ya Kasulu kulemewa na wagonjwa.
Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Post a Comment
CodeNirvana
Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.