Featured

    Featured Posts

Loading...

KAMA ULIKUWA UJAFANIKIWA KUYAONA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YA MWAKA 2016 BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Katika matokeo hayo, shule za Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam zimeonekana kung’ara zaidi kwa kushika nafasi za juu wakati huohuo  shule 6 za Dar es Salaam zikishika nafasi 10 za mwisho katika matokeo hayo.


Shule zilizoingia 10 bora Kitaifa.


Feza Boys Sec School – Dar es Salaam

St. Francis Girls Sec School -Mbeya

Kaizirege Junior Sec School – Kagera

Marian Gilrs Sec School – Pwani

Marian Boys Sec School- Pwani

St. Aloysius Girls Sec School – Pwani

Shamsiye Boys Sec School – Dar es Salaam

Anuarite Girls Sec School- Kilimanjaro

Kifungilo Girls Sec School- Tanga

Thomas More Machrina Sec School – Dar es Salaam


Shule za Dar es Salaam zilizoshika nafasi 10 za mwisho.


Kitonga Sec School

Nyeburu Sec School

Mbopo Sec School

Mbondole Sec School

Somangila Day Sec School

Kidete Sec School


BOFYA HAPA KUONA MATOKEO SASA

Katibu Mtendaji wa barza hilo, Dkt Charles Msonde amesema kati ya wanafunzi 408,372 waliofanya mtihani, jumla ya wanafunzi 277,283 wamefaulu, wakiwemo wasichana 135,859 sawa na asilimia 67.06 na wavulana 141,424 sawa na asilimia 73.26.


Kwa upande wa watahiniwa wa shule, Dkt Msonde amesema kuwa 244,762 sawa na asilimia 70.35 ya waliofanya matihani wamefaulu ikilinganishwa na wanafunzi 240,996 sawa na asilimia 67.91 waliofaulu mwaka 2015.


Kwa upande wa ubora wa ufaulu, amesema watahiniwa wa shule wenye ufaulu mzuri wa Daraja la kwanza hadi la tatu ni 96,018 sawa na asilimia 27.60 Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top