Featured

    Featured Posts

Loading...

Mh.Paul Makonda awataja wakubwa 65 leo wafike kituo cha polisi cha Dsm siku ya Ijumaa

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Aliyozungumza Makonda mchana huu na waandishi wa habari!.

Anasema anaingia awamu ya pili ya mapambano ambayo siyo nyepesi,anasema itakuwa na mawimbi mengi!.

1.Yanaingizwa kutoka Pakistan kwa meli,ikishapakia mzigo wanachukua madawa kwenye mifukonya sukari inawekwa kwenye mapipa!

Meli zikikaribia kufika mapipa hutupwa huko Zanzibar,Tanga na Bagamoyo yakiwa na GPRS,baadae hurudi walipoyatupa na kuyachukua na huyasafirisha mpaka Mtwara na baadae Afrika kusini!.

2.Kwa kutumia maghari yanayoaguswa kutoka nje,

3.Ni kwenye meli za mafuta

4.Ni wale wenye maeneo yao ya kupack mizigo!

Wengine huwatumia akina dada ,hawa hupewa dolla elfu tano ili ziwasaidie kuingia China.

 
Waliotajwa leo wafike kituo cha polisi cha dar es salaam siku ya  Ijumaa kwa mahojiano ni pamoja na.

1.Mmiliki wa slipway
2.Mmiliki wa Yatchclub
3.Idd Azan
4.MMI Wine
5.Freeman Mbowe

6.Mwinyi Machapta
7.Mr Halfizi
8.Yusuph Manji
9.Mchungaji Gwajima
10.Wamiliki wote wa clubs na Cassino
11.Mzee Kiboko wa Mbezi chini
12.Rose ambaye anaishi Ghana

Jumla wapo 65 wanaotakiwa kuripoti polisi Ijumaa. Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top