Featured

    Featured Posts

Loading...

Takribani madereva na matingo wa malori  27,600 wamepoteza Kazi, kujua zaidi bofya hapa

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Takribani madereva na matingo wa malori  27,600 wamepoteza Kazi tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.

TATOA (Umoja wa Wamiliki wa Magari ya Kusafirisha Mizigo Nchini) unamiliki Wastani wa Malori 23,000 Kwa sasa. 60% ya Malori Husika Kwa sasa hayafanyi kazi Kabisa Kwa Sababu ya Uhaba wa Mizigo Bandarini.

Kila gari Moja hutumia Wastani wa Lita za Mafuta 2000 kutoka Bandari ya Dar es salaam Kwenda Burundi, Zambia ama DRC. Ambapo Magari yote 23,000 hutumia Lita Milioni 46 Kwa Safari Moja katika Nchi Tatu Hizo, Na Serikali hukusanya Shilingi 650/- Katika Kila Lita Moja ya Mafuta Kama Kodi.

Kwa Msingi Huo Ukifanya Mahesabu Utaona Athari Za kushuka Kwa Mizigo Katika Bandari ya Dar zinavyosambaa Kutoka Bandarini, Kwenda TRA, Kisha Kwa TAFFA (Umoja wa Mawakala wa Mizigo Nchini), kuja kwetu TATOA, Kwenda TASAA (Umoja wa Mawakala wa Meli Nchini) mpaka Kwa ICDs (Umoja wa Wamiliki wa Bandari Kavu Nchini)".

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top