Featured

    Featured Posts

Loading...

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), Dk Agnes Kijazi ametoa tahadhari za mwelekeo wa msimu wa mvua

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA), Dk Agnes Kijazi ametoa tahadhari tano za mwelekeo wa msimu wa mvua katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba mwaka huu kutokana na mvua chache zinazotarajiwa kunyesha katika maeneo mengi nchini.

Akizungumza leo na waandishi wa habari ofisini kwake jijini hapa ,Dk Kijazi alisema vipindi vigumu vinatarajiwa kusababisha uvyevu unyevu mdogo hatua itakayoathiri ustawi wa mazao ya kilimo, mito na mabwawa kupungua maji yake kutoka hali iliyopo kwa sasa na mlipuko wa magonjwa kutokana na uhaba wa maji.

“Athari nyingine ni mafuriko yatakayojitokeza kupitia mvua kubwa zitakazotokea kwenye maeneo yasiyokuwa na uoto mwingi,

pia kutakuwa na uhaba wa malisho ya mifugo ya wanyama katika maeneo mengi, hatua hiyo ya kupungua kwa mvua inatokana na kupungua kwa joto katika maeneo ya Bahari ya Pasifiki,”alisema.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top