Featured

    Featured Posts

Loading...

Je, unadhani mwaka mmoja wa Utawala wa Awamu ya 5 unatoa matumaini yoyote kwa Wananchi?

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Zimebaki takribani siku 50 kwa utawala wa Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli kutimiza mwaka mmoja, kesho TWAWEZA inazindua ripoti kuhusu Utendaji wa Serikali ya Awamu ya 5.

Je, unadhani mwaka mmoja wa Utawala wa Awamu hii unatoa matumaini yoyote kwa Wananchi? Nini kinakukera na nini kinakupa matumaini katika awamu hii?

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top