Featured

    Featured Posts

Loading...

TAHADHARI KWA WOTE MNAOTUMIA WHATSAPP PAMOJA NA FACEBOOK, BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Tahadhari kwa wote mnaotumia program ya WhatsApp pamoja na Facebook. Taarifa zilizopo nikwamba program ya WhatsApp inamilikiwa na Facebook kwaiyo pasipokuinyima Facebook ruhusa basi taarifa zako zote za WhatsApp akaunti zitatumiwa na program ya Facebook.

Jambo hili sio zuri kabisa kiusalama yaani cyber security, kwaiyo basi fungua WhatsApp yako kisha fuata maelekezo yaliyopo kwenye picha kuanzia namba 1,2,3 hadi picha ya mwisho ambayo haina namba ili kuinyima ruhusa Facebook isiweze kutumia taarifa zako za WhatsApp pasipo ruhusa yako wewe.

Ila kama unapenda taarifa zako za whatsApp zitumiwe na facebook basi unaweza kuiacha bila kubadiri kitu chochote.

Nimshukuru sana mtangazaji wa BBC swahili Zuhra Yunus kwa ku-share nami habari hii, nawe wajulishe wenzio sasa.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top