Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

TUHUMA YA SUMU YAIBUA MAPYA JIJINI MWANZA, BOFYA HAPA KUJUA KISA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kikao cha kamati ya fedha na uongozi cha halmashauri ya Jiji la Mwanza, kimevunjika baada ya Meya Bw.James Bwire kulalamikia harufu kali, inayohisiwa kuwa ni sumu, ilikuwa ikitoka kwenye kiyoyozi ndani ya ofisi yake, huku watumishi wawili wa jiji hilo wakishikiliwa na polisi kwa mahojiano zaidi.

Meya James Bwire, ambaye mwezi wa April mwaka huu alilazwa Jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kudaiwa kuanguka  gafla ofisini kwake.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top