Featured

    Featured Posts

Loading...

KIWANGO CHA WANAFUNZI KUJUA KUSOMA NA KUANDIKA KIMEONGEZEKA SANA, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Utafiti wa kiwango cha Kusoma, Kuandika na Kuhesabu hapa nchini umeonyesha kuongezeka ikilinganishwa na mwaka 2013 ambapo hivi sasa wanafunzi wa darasa la pili walikuwa wanajua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.

Katika uzinduzi wa utafiti huo Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa JOYCE NDALICHAKO ameitaka jamii kushirikiana na serikali katika kuinua elimu hapa nchini huku wahisani wakiahidi kutoa dola milioni 35 kusaidia elimu hapa nchini.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top