Featured

    Featured Posts

Loading...

ILIVYOKUWA JANA BAADA YA LORI KUZIBA NJIA MTONGANI HADI MBAGALA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Foleni kubwa ya magari katika barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam  kuanzia eneo la Mtoni Mtongani hadi Mbagala jana. Foleni hiyo ilisababishwa na lori lililoziba njia baada ya kushindwa kupanda mlima.

Kuna umuhimu wa kuwa na barabara ya ziada  au kuwa na usagiri wa Trein kwa sababu eneo la Mbagala nikama correction point ambapo watu kutoka maeneo ya vikindu, Mkuranga, kimanzichana, kazore, kijiji cha Chera, mwandege, kongowe, mzinga, kigamboni na viunga vyake, Chamazi, mbande na viunga vyake nk, watu wote hao wanategemea kituo cha Mbagala pekee.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top