Featured

    Featured Posts

Loading...

NDEGE YAPOTEA IKIWA NA ABIRIA 56 LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Ndege hii ilikuwa ikitokea Ufaransa kwenda Misri ikiwa na idadi ya abiria 56 imepotea baada ya kuingia tu katika anga la Misri. Bado inatafutwa, Mara ya mwisho kuonekana katika radar ilikuwa 37,000 ft

Hapakuwa na mawasiliano yoyote kutoka kwa rubani kama ndege ina tatizo la kimfumo, ground controller wanasema kila kitu kilikuwa kama kawaida mpaka inapotea.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top