Featured

    Featured Posts

Loading...

KIJANA MASUPINI KABOLE ANASHIKILIWA NA POLISI KWA KOSA LA KUMNYONGA MTOTO WA MWAKA 1, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kijana moja aliye tambulika kwa jina la Masupini Kabole miaka ishirini na tisa mgogo anashikiliwa na polisi  Mkoani Singida kwa kumyonga mtoto wa Mwaka mmoja baada ya kumpokonya mama yake kwa madai kuwa ampeleke kwa mganga  ili atengenezewe dawa ya kuwa tajiri.

Akiwaeleza waandishi wa habari Kamanda wa Jeshi la polisi mkoani Singida ACP Thobias Sedoyeka amesema mauaji hayo yametokea katika kijiji cha Londoni wilayani Manyoni baada ya mtuhumiwa kuambiwa na mganga wa kienyeji alete mtoto ndogo akiwa amenyongwa.

Katika tukio lingine kamanda Sedoyeka amesema jeshi lapolisi lina watafuta  watu watatu wa kijiji cha Chabut kata ya Mgandu tarafa ya Itigi wilayani Manyoni, kwa kufanya unyanganyi wa fedha kwa kutumia silaha aina bastola iliyo tengenezwa kienyeji  baada ya kumpora mfanya biashara Robarth Alex.

Mutalemwa Blog ilifanikiwa kumpata kijana aliye  myonga mtoto kwa imani za kishirikina ambaye anadaiwa ni mkazi wa wilaya ya Nchemba mkoani Dodoma.

Bwana, Masupini Kabole , naye amesema aliamua kufanya kitendo hicho kutokana na maagizo aliyo pewa na mganga, apeleke mtoto akiwa Kanyongwa ili aweze kuwa tajiri.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top