Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

JE UNAJUA KWAMBA TANZANIA INAPOKEA WAKIMBIZI 1,000 KWA WIKI? KUFAHAMU ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Taasisi ya Umoja wa Mataifa inayoshughulikia wakimbizi(UNHCR) imesema kuwa takribani raia 250,000 wamekimbia machafuko nchini Burundi.

UNHCR imesema kuwa Tanzania imeshapokea wakimbizi 131,800 kutoka Burundi, na kwa wiki wanawasili jumla ya wakimbizi 1,000.

Rwanda imeshapokea wakimbizi 73,900 na Uganda 22,330.

Zaidi ya Raia 440 wamepotez maisha nchini Burundi kufuatia machafuko yanayoendelea. Habari kamili inapatikana hapo chini  {{BOFYA HAPA}}


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top