Featured

    Featured Posts

Loading...

MTOTO WA MIAKA 10 AKATWA KATWA KWA VIWEMBE MAPAJANI, BOFYA HAPA KUJUA CHANZO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mtoto Eugen Godfrey anayesoma shule ya Msingi Engira Darasa la Pili mwenye miaka10 (Kata ya Themi Jijini Arusha), leo amesaidiwa na Diwani wa Themi Melance Kinabo kwa Kushirikiana na Polisi wameweza kumkamata mzazi huyo kutokana na kitendo alichomfanyia mwanae cha kumchana chana kwa viwembe sehemu za mapajani.

Mzazi huyo ameweza kujulikana kwa jina la Anna Kileo anafanya kazi katika kiwanda cha Sunflag, anaishi Osterbay kata ya Ungalimited jijini Humo Arusha.

Baada ya polisi kumbana mzazi huyo amedai amefanya kitendo hicho baada ya mtoto kushindwa kwenda kuteka maji bombani.

Mpaka Mwandishi wa habari hizi anakwenda mitamboni Mama huyo wa mtoto alikua baado anashikiliwa na Polisi.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top