Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MTOTO MWENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO AMEUAWA KISHA KUKATWA MKONO, ZAIDI BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mtoto wa kike wa miaka mitano mwenye ulemavu wa ngozi(Albino) ametekwa kisha kuuawa kwa kukatwa viungo na watu wenye silaha nchini Burundi. 

Watu hao walivamia nyumba ya wazazi wake na kuwashambulia wazazi na kutokomea kusikojulikana na mtoto huyo mlemavu.

Walifuatiliwa na majirani wa familia hiyo na kuukuta mwili wa mtoto ukiwa umetupwa bila kuwa na mkono moja.

Chanzo: Jamii Forum 

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top