Featured

    Featured Posts

Loading...

DK.KIZZA BESIGYE AKAMATWA, KISA NA MKASA BOFYA HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Msemaji wa chama cha Forum for Democratic Change Ssemujju Ibrahim Nganda amethibitisha kwamba mgombea urais wa chama hicho Dkt Kizza Besigye amekamatwa.

Amekamatwa akiwa eneo la Naguru, Kampala katika nyumba ambayo upinzani ulidai wizi wa kura ulikuwa ukifanyika.
Wafuasi wa upinzani, Besigye akiwemo, walitaka kukagua nyumba hiyo lakini wakazuiwa.

Besigye alikamatwa na maafisa wa polisi walioondoka naye kutoka eneo hilo.
Haijabainika amepelekwa wapi.

Wasifu wa Kizza Besigye
Hii na mara ya pili kwa Dkt Besigye kukamatwa wiki hii. Jumatatu, alikamatwa alipokuwa akijaribu kupitia katika barabara moja mjini Kampala.

Jumatatu polisi walisema walimzuilia kumlinda. Polisi walisema hakuwa na idhini ya kupitia eneo hilo kwa mujibu wa sheria.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top