Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

DAR ES SALAAM PAMOJA NA MIJI MINGINE 4 YAKUMBWA NA BOMOA BOMOA, BOFYA HAPA KUJUA ZAIDI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Miji minne ikiwemo Dar es Salaam kukumbwa na bomoabomoa.

Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mh William Lukuvi amesema serikali inaanza zoezi la kutambua na kubomoa nyumba zote zilizojengwa kinyume na utaratibu hasa zile zilizoziba barabara na mitaro na itaanza na miji minne ikiwemo jiji la Dar es Salaam.

Mh Lukuvi ameyasema hayo jijini Dar es Salaam alipokuwa akikabidhi ramani za maeneo ya mitaa yote ya jiji kwa watendaji na wenyeviti wa mitaa ili kila mwananchi ajitambue eneo alilojenga kama hakustahili kuwepo aanze kujipanga.


Baadhi ya mameya waliohudhuria makabidhiano hayo mbali na kuelezea mipango ya manispaa zao juu ya suala la mipango miji wamesema baada ya wizara kutoa ramani hizo tatizo sugu la migogoro ya ardhi litapungua kwani kila mmoja atafuata taratibu na sheria zilizopo.

Wilaya ya Kinondoni ni miongoni mwa wilaya zinazodaiwa kuongoza kwa kuwa na migogoro mingi ya ardhi ambapo afisa mipango miji Bi Juliana Letara amesema asilimia 70 ya maeneo bado hayajapimwa wala kurasimishwa hali inayochangia manispaa hiyo kukosa mapato.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top