Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

BREAKING NEWS: MHE EZEKIEL WENJE APATA AJALI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.


Gari lililokuwa linaendeshwa na mbunge wa Nyamagana mhe.Ezekiel Wenje limepata ajali katika maeneo ya Magereza Bariadi mkoani Simiyu ikiwa ni mda mfupi uliopita.
Gari la kiongozi huyo limepata ajali hii baada ya kuacha njia na kugonga mtaro kisha kuanguka. Waliokuwemo kwenye ajali hii ni pamoja na mbunge wa viti maalumu Chadema Gimbi Masaba pamoja na mwandishi wa habari wa Tanzania daima Sitta Tuma, wote hawa wamepata michubuko kidogo tu.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top