Featured

    Featured Posts

Loading...

ALIYE ISHAMBULIA NDEGE YA SOMALIA AJULIKANA, BOFYA HAPA KUMFAHAMU

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Ndege ya kampuni ya Daalo nchini Somalia ilioshambuliwa. Mwalimu mmoja wa shule ya Madrasa, ametambuliwa kuwa mshukiwa aliyetekeleza shambulio la bomu ambalo lilisababisha shimo kubwa katika tanki ya mafuta ya ndege moja ya abiria nchini Somalia, iliyokuwa ikielekea nchini Djibouti, tarehe mbili Februari mwaka huu.

Abdullahi Abdisalam Borleh, alirushwa na mlipuko uliotokea katika ndege hiyo aina ya Airbus 321, wakati bomu hilo lilipolipuka muda mfupi baada ya ndege hiyo kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Mogadishu.

Maafisa wa idara ya ujasusi wanaamini kuwa Borley, ambaye anatoka eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland, alibeba bomu hiyo kimakusudi.
  
Tundu iliosababishwa na mlipuko huo
Kundi la wapiganaji wa Kiislamu wa Al Shabaab, lilidai kuhusika na mlipuko huo, lakini halijatoa majina ya waliohusika moja kwa moja.

Hamna aliyeuawa wakati wa mlipuko huo, ambao ulitokea dakika kumi na tano baada ya ndege hiyo kupaa. Ndege hiyo ililazimika kurejea na kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Mogadishu nchini Somalia.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top