Featured

    Featured Posts

Loading...

NYUMBA ZINAUZWA/HOUSES FOR SALE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Nyumba izi zipo eneo la Mbezi beach chini au Mwai Kibaki Road, hapa jijini Dar es Salaam. 

Nyumba hizi zipo kwenye mazingira mazuri na yenye kuvutia.
Huu ni muonekano wa mazingira ya nyumba hizi. Pia zipo ndani ya eneo lenye urefu wa mita 58.5 na upana wa mita 30
Nyumba hizi zina umiriki kamili yaani
(Hati miliki ya kiwanja kilichojengwa nyumba hizi ipo)
Muonekano wake, kushoto kuna ghorofa 3 na kulia ni nyumba moja nzima.
Muonekano wa juu wa nyumba izi na maeneo ya jirani.
Nyumba hizi zinauzwa kwa Dola laki nane na nusu (850,000) pia maongezi yapo kwa mteja ambaye yuko tayari kuzinunua.
Kwa maelezo zaidi, Tuwasiliane kupitia simu namba +255659 91 9292 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top