Featured

    Featured Posts

Loading...

ZIMBABWE YARUSHA NDEGE IKIONGOZWA NA MARUBANI WOTE WA KIKE

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Wiki iliyopita shirika la ndege la Zimbabwe (air Zimbabwe), lilitengeneza historia mpya duniani kwa kuwa nchi ya kwanza kurusha ndege iliyopo chini ya Uongozi wa Marubani wa kike pekee.

Makapteni wawili wa kike ambao ni Chipo M na mwenzie Matimba pamoja na mwenzao Elizabeth Simbi, waliruka na ndege aina ya ‘Boeing 737′  kutoka mji mkuu wa nchi hiyo Harare mpaka katika maporomoko ya Victoria.

Baada ya kufanikiwa kutua salama, Marubani hao wakaamua ku ‘Share’ furaha zao kupitia mitandao ya kijamii.

“History has been made! First all-female flight deck crew on the Air Zimbabwe Boeing 737! Two captains! Absolute pleasure Captain Elizabeth Simbi Petros! #FLYBABES. #PaintingTheSkyPink! “
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top