Featured

    Featured Posts

Loading...

JAMBAZI AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Mtu anayesadikiwa kuwa ni jambazi ameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Singida baada ya kumvamia na kumjeruhi askari polisi wakati akitaka kumpora bunduki aina ya SMG na hivyo kupigwa risasi na polisi wenzake.

Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida TOBIAS SEDOYEKA na kumtaja mtu huyo kuwa ni DOTTO WILLIAM.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top