Featured

    Featured Posts

Loading...

AMA KWELI WABUNGE WANAFAIDI KWELI KWELI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Hii ni Kwa mujibu wa Mh Zitto Kabwe ambapo anasema "Mshahara wa mbunge ni milioni 3.8 kwa mwezi.

Posho ya Ubunge ni milioni 8 kwa mwezi, Posho ya kujikimu kwa siku ni laki 120,000 kwa siku.

kukaa kikao cha bungeni posho ni shilingi laki 200,000 Kwa siku". Je Nini maoni yako hapo?

Source : Eatv 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top