Featured

    Featured Posts

Loading...

WANAWAKE WA WILAYA YA KILOMBERO WAFUNGUKA NA HAYA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Wanawake wa wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro wamekumbushwa kuwa hatma ya kero za kukosa huduma mbalimbali zikiwemo huduma za afya ya uzazi ipo kwenye mikono yao ifikapo Octoba 25 kwa kuchagua viongozi waadilifu watakaoweka maslahi mapana ya kero za wanawake mbele. 

Mke wa mombea urais kupitia umoja wa vyama vinavyounda Ukawa mama Regina Lowassa ameyasema hayo wakati akizungumza na wanawake wa wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ambapo amesema wanawake wanahitaji mabadiliko na hakuna sababu ya wanawake kuendele kubeba mizigo mizito ya michango kwenye maswala ya afya na elimu.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top