Gazeti la mwananchi la Leo linasema... jiandaeni kwa mgao ambao
haujawahi kutokea wa umeme baada ya TANESCO kushindwa kulipa mpaka sasa
kampuni iliyobaki ikizalisha umeme mwingi.
Baada ya mabwawa yoote kukauka na kampuni hiyo kunuia kuzima mitambo yake ifikapo wiki ijayo kama hawatalipwa pesa zao mpaka sasa mkurugenzi wa tanesco anahaha kusaka pesa hazina.
source mwananchi
Sijamuelewa vizuri simbachawene
Katika hali isiyo ya kawaida mheshimiwa
Waziri wa Nishati Madini, George Simbachawene kwa mara ya kwanza amesema kuwa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi kutoka Mtwara iliyojengwa eneo la Kinyerezi, Dar ni MALI YA WATU BINAFSI NA SIO MALI YA SERIKALI.
Kauli hiyo imewashangaza watu wengi kwa kuwa mara zote serikali ilikuwa ikisema mitambo ile ni mali ya umma na inajengwa kwa pesa za serikali sambasamba na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara na Mitambo ile mradi wa serikali chini ya TANESCO.
Jamani naomba mniambie Kikwete amelifanyia nini hili Taifa kwa miaka 10 tumeambiwa mradi huu umeigharimu Tanzania dola million 100 tena mkopo Kumbe mradi wa company fulani na haumilikiwi na serikali.
Navumilia kuwa Mtanzania Lowassa tuokoe watanzania.

Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, mtu unaweza kupata wazimu, ukikamata SMG, unaweza kuwamiminia risasi Watanzania wenzetu wanauiuza nchi yetu na maliasili zake kwa bei ya bure kwa wageni kwa jina la wawekezaji kwa kisingizio kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwekeza!.
Kumbe na kwenye gesi asili, Watanzania tunaendelea kuibiwa mchana kweupe!. Hatuna Sera, Hatuna Sheria, na bado tunashadadia kugawa vitalu!. Hii ni "day light Robbery!"
Hebu soma hapa chini!.
After studying the experience from other countries, the following lessons were learnt:
Location of LNG Plant – should be constructed on land (not floating LNG
on sea)
Reasons: Mainly for monitoring and control purposes – monitoring is challenging because of lack of technology and control means
There should be only one plant. The GoT/Tanzanians/Public should have majority shares to the entire
Infrastructure say not less than 51% – to have authority say and decision making for the benefit of the country. It may be on PPP model.
The proposed land for construction of LNG and other industries utilizing natural gas should be owned by the government. Facilities like roads, water and electricity should be put by GOT and appropriate tariff should be determined for the government.
1. KWA GESI ALIYOTUJALIA MWENYEZI MUNGU, TUKIJIPANGA VIZURI, TUTAPATA MAENDELEO MAKUBWA KULIKO AMA KAMA SOUTH AFRICA. 2. MAKAMPUNI MAKUBWA YA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI YANAELEWA NA YANATAKA TUBAKI KWENYE HALI YA KUTOELEWA HALI YA BIASHARA YA GESI. YANATULAGHAI KWA NJIA YA UZOEFU NA WALIONAO. 3. GAS HATA KAMA IKO CHINI YA BAHARI AU CHINI YA ARIDHI NI MALI YETU NA INAYO VALUE YAKE NA SIO MWENYE UWEZO WA KUITOA ARIDHINI BASI NDIE MWENYE GAS DARWIN THIORY ISITUMIKE KWA MALIASILI YA NCHI YETU.
MY TAKE!. 1. Kumbe gesi yote inayovunwa nchini sasa na itakayoendelea kuvunwa miaka ijayo, siyo yetu!, ni ya mwekezaji!.
2. Eti gesi hiyo haina thamani yoyote kwetu huko chini ardhini ilipo, na wala sio mali yetu!, bali ni mali ya mwekezaji anayeichimba na sisi tunauziwa kwa bei ya soko, na faida yote ni ya mwekezaji anayechimba, ila taifa litafaidika na kodi!.
Nimeshindwa kuendelea kwa sasa kutokana na hasira!.
Mungu Ibariki Tanzania!.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies