Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa October 2 2015 alisimama mbele ya
Wananchi wa Jimbo la Babati Mjini katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni
uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Manyara.

Edward
Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa Chadema kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Julius Karanga, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano
wa Kampeni
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.
Share habari hii kadri uwezavyo.