Featured

    Featured Posts

Loading...

NEY WA MITEGO AFUNGUKA NA HAYA BAADA YA KUVAMIWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Niaje watu wangu!? Siko poa siku nzima ya leo. Nilitaka nikae kimya nisiongee chochote but nimeona itakua si sahihi sababu naweza nikawa naendelea kufuga matatizo, Sipo Dar nina 2weeks.

Usiku wa kuamkia leo kuna watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwangu Kimara, walikua wamevaa Mask (Ninja) wakati wanahangaika kukata nyaya za fens alarm ikawa inapiga kila wakati.

Wakaona wapande juu ya mstimu ili wakate umeme nyumba nzima ndo waingie, but Majilani zangu ndio wakaamua kutoka na kuwaitia kelele za mwizi.

Walifanikiwa kukimbia, walikua na gari aina ya LandCruser nyeusi but haikua na Plate Number.

Nashukuru Mungu familia yangu ipo salama na awakufanikiwa kutimiza walilotaka kufanya.

Taarifa zipo Police tayari, Kama ni Wezi, Majambazi au Walitumwa all the best endeleeni.!! Nawapenda wote mnao nipenda ata mnaonichukia pia. Sote ni watoto wa baba 1. #NAJITAMBUA"
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top