Featured

    Featured Posts

Loading...

NYUMBA ILIYOUNGUA MOTO USIKU WA JANA MBAGALA KIPATI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Nyumba yawaka moto na kuungua kabisa eneo la Mbagala Kipati. Katika tukio hili hakuna kitu kilichoweza kutolewa ndani mpaka sasa, zaidi ya watu wote kunusurika baada ya kutoka nje ya eneo la tukio.


pia gari la zima moto limefika sasa hivi ikiwa ni saa 9:30pm nyumba ikiwa imeisha ungua yote na kuzimika kabisa. Mbali na kuungua kwa nyumba hiyo bado chanzo chake hakijajulikana kwa haraka. Endelea kuwa nasi tukujuze mambo.
 
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top