Featured

    Featured Posts

Loading...

MSHINDI WA NAFASI YA URAIS 2015 NI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kwa mujibu wa matokeo yaliyokusanywa nchi nzima na kutangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi nchini Tanzania kwa nafasi ya urais kwa mwaka huu wa 2015.

Matokeo ni kama yafuatavyo hapo chini
1. ACT- kura 98,763  sawa na 0.65%
2. ADC- kura 66,049 sawa na 0.43%
3. CCM- kura 8,882,935 sawa na 58.46
4. CHADEMA- kura 6,072,848 sawa na 39.97%
5. CHAUMA- kura 49,256 sawa na 0.32%
6. NRA- kura 8,028 sawa na 0.05%
7. TLP- kura 8,198 sawa na 0.05%
8. UPDP-kura 7,785 sawa na 0.05%

Idadi ya watanzania walioandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapigakura ni millions 23,161,440 na waliopiga kura ni 15,589,639 sawa na asilimia 67.31%

Kura halali ni 15,193,862 sawa na 97.46% kura zilizo kataliwa ni 402,248  sawa na 2.58%. Mshindi wa nafasi ya urais kwa mwaka huu ni mhe.John Joseph Pombe Magufuli.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top