Featured

    Featured Posts

Loading...

MATOKEO YA URAIS JIMBO LA KYELA MKOANI MBEYA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Bado tume ya uchaguzi nchini Tanzania inaendelea kutangaza matokeo ya nafasi mbalimbali zikiwemo nafasi za ubunge, udiwani pamoja na urais.

Mda uliopita tume ya uchaguzi nchini imetangaza matokeo kwa nafasi ya urais kutoka mkoani Mbeya kwenye jimbo la Kyela.

Matokeo yenyewe nikama yafuatayo
ACT 261
ADC 338
CCM 44451
CHADEMA 37563

CHAUMA 132
NRA 28
TLP 28
UPDP 23

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top