Kutoka Zanzibar: Tume ya uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo ya
awali ya Rais katika majimbo manne huku mgombea urais kwa tiketi ya
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dokta Ali Mohamed Shein akiongoza majimbo
matatu ya Kwahani, Fuoni na KiembeSamaki.
Huku Mgombea Urais kwa tiketi ya Civic United Front (CUF), Maalim Seif anaongoza jimbo moja tu la Malindi. Source JamiiForums
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies