Featured

    Featured Posts

Loading...

KIMARA JIJINI DAR WARUDIA KUPIGA KURA LEO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Kutokana na sababu mbali mbali zilizochangia kushindwa kupiga kura Kimara Stop Over hatimaye zoezi hilo limefanyika mapema leo hivyo wameweza kupata haki yao ya msingi kikatiba ya kupiga kura.

Wakazi hao katika mahojiano na ITV mara baada ya kupata nafasi ya kupiga kura kumchagua kiongozi wanaomtaka.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top