KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye
amepata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea
jijini Dar es Salaam.
Nape ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Jimbo la
Mtama, Lindi alipata ajali hiyo baada ya tairi la mbele la gari
aliyokuwa akiendesha aina ya Toyota Land Cruiser kupasuka na kupinduka
mara kadhaa katika eneo la Nyangao mkoani Lindi. Zaidi soma==>> Bofya hapa
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies