Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

WATU 20 WARIPOTIWA KUFARIKI DUNIA, SOMA ZAIDI HAPA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Watu 20 wameripotiwa kufariki kufuatia mapigano makali yaliyoibuka mjini Bangui katika jamhuri ya Afrika ya Kati.
Daktari mmoja wa jeshi ameiambia shirika la habari la AFP kuwa zaidi ya watu 100 walijeruhiwa katika makabiliano baina ya waislamu na wakristu katika eneo la PK-5.

Makabiliano hayo yalitibuka baada ya mauaji ya mwendesha bodaboda ambaye alikuwa ni muislamu. Eneo hilo la PK-5 ndilo lililokuwa chimbuko la mapaigano ya wenyewe kwa wenye kati ya waislamu na wakristu kati ya mwaka wa 2013- 2014.

Maafisa wa kijeshi wa umoja wa mataifa walioko huko walilazimika kuingilia kati ilikukomesha maafa zaidi. Wenyeji wa Bangui wameanza kutoroka makwao
Serikali ya mpwito imekashifu mauaji hayo iliyoyataja kuwa ya kipuuzi.

Taifa hilo limekuwa likijaribu kurejea katika uongozi wa kiraia na wa amani kufuatia vita vilivyotokea baada ya kundi la waasi wa Seleka ambao wengi wao ni Waislamu walipoipindua serikali ya Francois Bozize inayoungwa mkono na makundi ya wakristu ya "anti-balaka".

Kwa sasa makundi ya wakristu "anti-balaka" yanadhaniwa kushiriki katika mapigano hayo ya kulipiza kisasi na kuna hofu kubwa kuwa huenda kukaibuka mapigano zaidi.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top