Featured

    Featured Posts

Loading...

VIWANJA VYA BEI NAFUU BADO TUNAVYO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
VIWANJA VYA BEI NAFUU BADO TUNAVYO

1. Viwanja vyenye urefu wa Futi 50 na upana wa Futi 40, sawa na mita 15.15 kwa mita 12.12 vinauzwa kwa Tsh. 1.5million @ kiwanja kimoja.
  
izi ni baadhi tu za nyumba za wateja wetu waliokwisha jinunulia viwanja vyao na wameanza kujenga tayari.
 
2. Viwanja vyenye urefu wa Futi 80 na upana wa Futi 40, sawa na mita 24.24 kwa mita12.12 vinauzwa kwa Tsh. 3millions @kiwanja kimoja.
  
Hapa ndipo vikindu stend au kwa jina maarufu wanapaita vikindu getini, kutoka apa hadi viwanja vilipo ni dakika 10 kwa bodaboda. 
 
Pia kama unatafuta eneo kubwa zaidi/Nursery school/Primary school/Yadi/Frems za maduka/vyote tunayo tena vya kutosha, bei zote ni maelewano karibuni sana.
  
hapa ni vikindu getini upande wa kulia, kutoka apa vikindu mpaka kufika viwanjani kuna mwendo wa dakika 10 kama unatumia pikipiki

Viwanja hivi vipo sehemu inayoitwa Kazole Magenge 20 kata ya Vikindu mkoa wa Pwani, ambapo mda si mrefu pataitwa mkoa wa Dar-es-Salaam kutokana na upanuzi wa mikoa.

Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top