Featured

    Featured Posts

Loading...

UKAWA NAO LEO WAJIBU KAULI ZA DK.SLAA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Umoja wa vyama vinavyounda umoja wa Katiba UKAWA leo nao wamejibu kauli za mhe.Slaa alizo zizungumza siku ya jana kutipita vituo vya television na radio stations hapa nchini.

Wameamua kujibu kauli hizo kupitia kwenye mkutano wa waandishi wa habari huku wakimtaja dk.slaa kuwa alishiriki kumkaribisha mhe.Edward Lowassa kuingia chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema. 

Fuatilia mjadara huu kupitia Azam Tv sasa
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top