Featured

    Featured Posts

Loading...

TUME YA UCHAGUZI NEC NA MPANGO WA FOMU ZA URAIS

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Tayari headlines za majina ya waliopitishwa na vyama kugombea Urais zilichukua uzito sana kwenye stori kubwa Tanzania kwa muda mrefu, baada ya hatua hiyo sasa hivi kinasubiriwa kuona wagombea hao waliopitishwa kuanza kuchukua fomu kwenye tume ya taifa ya uchaguzi.
 1
Kwenye maelezo ya Jaji Damian Lubuva mwenyekiti wa tume ya uchaguzi >>> “Tunaanza kutoa Fomu kwa wale wanaogombea urais, kesho UPDP watakuja kuchukua fomu saa tatu asubuhi wamesema hawana shamrashamra… TLP wao watakuja saa sita mchana wanakuja kwa shangwe… DP wao wanakuja saa nane mchana pia nao wamesema watakuja kwa shangwe pia.
vote“Jumanne August 4 watakuja CCM saa sita mchana watakuja kwa shangwe kama wengine… Jumatano  watakuja ADC saa tatu asubuhi, wao hakuna shamrashamra baada ya hapo watakuja TADEA saa nne asubuhi pia wao hawana shangwe”

“August 17 watakuja ACT- Wazalendo saa tatu asubuhi wanakuja kwa shange pia… muda wa kuandisha wapigakura kwa mfumo wa BVR unaisha rasmi August 8 2015 na baada ya hapo ratiba ya tume itaendelea kuruhusu uchaguzi Mkuu”. Jaji Damian Lubuva, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi.

Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top