Featured

    Featured Posts

Loading...

MOTO WASABABISHA VIFO VYA WATU 9 BUGURUNI JANA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Waungwana nimesikia hii habari muda si mrefu kutoka East Africa radio kuna familia moja imeteketea kwa moto hapo Buguruni Malapa. Watu 9 wanasemekana wamefariki kasoro baba mwenye nyumba tu.


Kwa niaba ya familia yangu nawapa Pole sana wafiwa wote na Mungu awape subra katika kipindi hiki kigumu. Wenye taarifa kamili tunaomba mtujuze. Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top