Featured

    Featured Posts

Loading...

ZIARA ZA MAFANIKIO KWA GASPER NGIDO ZITAKUWA HIVI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Gasper Ngido ataanza safari yake ya kupiga kampeni kuanzia siku ya leo ya juma tatu ambapo ataanzia kata ya Hai mjini, kata ya Bondeni na kata ya Muungano. Katika ziara yake hii ya leo watakuwa wagombea sita. Safari ya ziara ya kampeini yake itamalizika tarehe 31 july 2015. 


Ambapo katika safari zake za kampeni mhe. Gasper anatarajia kutembelea jumla ya vijiji 76 vilivyopo kwenye wilaya ya  Hai mkoani Kilimanjaro.

Kwa pamoja tuungane kumsaport kama kijana mwenzetu na pia anaweza sana.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top