Featured

    Featured Posts

Loading...

TETESI JUU YA MSANII SHILOLE KUWA MJAMZITO

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
 Akiwa kwenye tukio hilo, Shilole alizua maswali baada ya tumbo lake kuonekana limejaa kama mjamzito.“Dah nipo kitambo sasa lakini sijapata picha kama tumbo la Shilole ni mimba au kashiba tu, maana kwa uzoefu wangu jinsi anavyoonekana atakuwa na mimba,” alisema mmoja wa mashuhuda.
Baada ya kuona hali hiyo, mwanahabari wetu alimfuata Shilole kwa lengo la kumtaka azungumzie ishu hiyo kama ni tumbo tu au ameshanasa ujauzito, ambapo alisema:

“Ni kweli nina mwanaume rijali lakini sijabahatika kupata mimba, nadhani muonekano wa tumbo ni kwa sababu ya nguo niliyovaa ila natamani kupata mtoto,” alisema Shilole.
Minong’ono! Tumbo la staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ limezua maswali kwa wadau kibao kama ni la kawaida au tayari mwandani wake, Naftal Mlawa ‘Nuh Muziwanda’ ameshampachika ujauzito.

Shilole au Shishi Baby alizua minong’ono hiyo wikiendi iliyopita nyumbani kwa mwigizaji, Aunt Ezekiel Grayson maeneo ya Mwananyamala jijini Dar ambapo kulikuwa na shughuli ya 40 ya mtoto wa Aunt, Cookie iliyokwenda sambamba na futari huku mastaa kibao wakijumuika katika tukio hilo.


Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top