Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

MHE JOHN POMBE MAGUFULI AIBUKA MSHINDI WA KUIWAKIRISHA CCM KATIKATI URAIS

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Mkutano mkuu maalum wa ccm 2015 kutoka convention centre Dodoma, umemalizika mda mfupi uliopita.
Picha kutoka maktaba ya yetu

Na mshindi bora wa kuiwakilisha ccm katika  kugombea nafasi ya urais october mwaka huu 2015 ni Mhe.John Pombe Magufuli.

Jumla ya kura zilizopigwa ni 2,422 kura zilizo haribika ni 6. Magufuli ameshinda kwa kishindo cha kura 2,104 sawa na asilimia 87.1% huku wenzake kama Asharose Migiro akipata kura 59 sawa na 2.4% na Amina Salum Ali akipata jumla ya kura 253 sawa na 10.5%
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top