Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

ALICHO ANDIKA LOWASSA KABLA YA JINA LAKE KUKATWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.



Napenda kumpongeza Rais Jakaya Kikwete na serikali yake kwa mafanikio makubwa katika kipindi chake cha uongozi. Binafsi pia namshukuru Rais Kikwete kwa kuniamini na kunipa nafasi ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali yake kwa kipindi cha miaka miwili.
Serikali hii ya awamu ya nne imefanikiwa kufanya mambo mengi makubwa ya kujivunia na kwa hakika ni matarajio ya watanzania kwamba serikali ijayo itaendeleza mafanikio na juhudi za Rais Kikwete katika kumaliza tatizo la umaskini kwa watanzania.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top