Featured

    Featured Posts

Loading...

MAELEZO KUHUSU TREIN ILIYOANGUKA DODOMA 29JULY

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Hii post ni maalum kwa ajili ya kuujua ukweli baada ya ajali ya Treni iliyotokea kwenye tarafa ya Kikombo Dodoma ambapo mabehewa manne ya Treni hii ya abiria kutoka bara kwenda Dar es salaam yaliacha njia.
 tr
Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyotealiyejeruhiwa.
tr2 
Amesema chanzo cha ajali hakijafahamika ila ajali imetokea wakati treni ikiwa kwenye mwendo katika stesheni ya Kikombo kuelekea kusimama, injini na Mabehewa hayo yakiwa kwenye mwendo yalihama njia ambapo July 29 2015 zilifanyika jitihada za kufaulisha abiria katika mabehewa mengine pamoja na kuunga injini nyingine ili safari iendelee.

tr3 Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top