Featured

    Featured Posts

Loading...

KAMA ULIKOSA KUANGALIA MECHI YA JANA BASI SOMA HI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
yanga logo
Klabu ya Dar es Salaam Young African imezidi kujiweka kwenye nafasi nzuri katika michuano ya Kombe la KAGAME ambalo linaendelea Dar Es Salaam… Yanga ambayo ilianza mashindano hayo vibaya imeshacheza mechi tatu hadi sasa na kupoteza moja dhidi ya Gor Mahia ya Kenya ambayo iliwafunga goli 2-1.
Wachezaji-wa-Yanga-wakijadili-baada-ya-kufungwa-magoli-katika-kipindi-cha-pili.
July 24 2015 Yanga imetinga Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza na KMKM ya Zanzibar ambapo Yanga imejiweka vizuri baada ya kuifunga KMKM ya Zanzibar kwa jumla ya goli 2-0, huu ni mchezo ambao umemfanya Malimi Busungu kuingia tena katika headlines baada ya kupachika goli la kwanza dakika ya 56 huku bao la pili KMKM wakijifunga wenyewe dakika ya 72.
yanga
Yanga ipo nafasi ya tatu katika kundi A kwa point 6 nyuma ya Al Khartoum ya Sudan na Gor Mahia ya Kenya, huku KMKM ya Zanzibar ikiwa nafasi ya nne na Telecom ya Djibout kushika mkia kwenye Kundi hilo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top