Featured

    Featured Posts

Loading...

HABARI MCHANGANYIKO KUTOKA NDANI NA NJE YA TZ

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
CHADEMA waiteka Mwanza kwa saa sita, Freeman Mbowe aahidi CHADEMA kuleta kiongozi atakayekubalika na nchi nzima.

uandikishaji kwa mfumo wa BVR Dar es Salaam kuanza vibaya jana kutokana na upungufu wa vifaa, uwezo mdogo wa wafanyakazi, upungufu wa watendaji na ukosefu wa umeme kwa baadhi ya maeneo.Kutoka Morogoro iko stori inayohusu Mahakama ya Hakimu Mkazi kumfutkia shitaka moja Sheikh Ponda, kwa sasa atatakiwa kujibu mashitaka mawili.

Stori nyingine kubwa inahusu Prof. Anna Tibaijuka kushushwa jukwani kwa kuzomewa alipokuwa akihutubia Muleba, baadhi ya makada wa CCM waliokuwa kwenye kambi ya Urais ya Lowassa wakutana na Dk. Magufuli faragha.

Iko nyingine kubwa kutoka Burundi, hali sio shwari kwa sasa licha ya Uchaguzi wa kumpata Rais wa nchi kufanyika siku ya Jumatatu wiki hii.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top