Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

BSS ILIVYOKUWA KATIKA VIWANJA VYA COCO BEACH DAR

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.50.38 PMBongo Star Search imerudi tena mtu wa nguvu, huu ni msimu wa nane wa mashindano hayo tangu yameanza… mikoani kazi imeisha na washiriki wamepatikana, sasa ni zamu ya Dar es Salaam.
Baada ya Majaji kuwakusanya washiriki waliofanya vizuri Mikoa ya Mwanza, Arusha na Mbeya sasa kazi imeanza rasmi Dar es Salaam ambapo usaili ulianza July 22 2015 na utaendelea mpaka July 24, mchakato wote unaendelea pale Coco Beach.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.50.52 PM
Meza ya Majaji, yuko Madam Rita, Producer Master Jay na Salama Jabir.
Kama kawaida majaji wa mashindano haya ni Madam Rita, Master J na Salama Jabir kazi yao kubwa ni kuwachuja wale wote wanaojitokeza kwenye usaili huu na hatimaye kuwapata wale bora zaidi watakaoiwakilisha Dar es salaam kwenye fainali msimu huu.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.51.00 PMKazi ilikuwa kubwa kwa siku ya leo Coco Beach, watu wameonesha kupania kufanya kweli safari hii… walijitokeza kwa siku ya leo tu ni watu wengi sana na siku ikaisha kila kitu kikaenda vizuri.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.51.10 PM
Chief Judge mwenyewe, Madam Rita.
Hapa chini nimekusogezea picha zikionyesha leo palivyokuwa Coco Beach.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.51.27 PM
Mshiriki wa Bongo Star Search 2015 akijiandaa kuwaonesha Majaji kipaji 
Screen Shot 2015-07-22 at 7.51.38 PM
Foleni ya watu waliojitokeza kwenye usaili wa leo Coco Beach, hapa wakiwa wanachukua namba zao za kushiriki
Screen Shot 2015-07-22 at 7.51.47 PM
Foleni ya watu waliojitokeza leo Coco Beach, hapa wakisubiria kupewa namba zao za usahili.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.52.03 PM
watu walikuwa wengi, foleni ndio kama unavyoona.
Screen Shot 2015-07-22 at 7.52.19 PM
Mshiriki mwingine aliyejitokeza siku ya leo, hapa akiwa anajiandaa kuonesha uwezo wake
Screen Shot 2015-07-22 at 7.52.33 PM
Watu na namba zao tayari, wakisubiri kuitwa
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top