Featured

    Featured Posts

Loading...

WATALII WAVUA NGUO JUU YA MLIMA NA KUPIGA PICHA WAKIWA UCHI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.

Kuna wakati watu wengine sio kwamba hawapendi watalii au hawapendi utalii kwenye nchi yao, Utalii unakuja na vingi ikiwemo utamaduni mgeni.. Ukiwa maeneo ya Beach hivi kukutana na Watalii wakiwa na nguo ndogondogo huku wakipunga upepo ni kawaida tu, lakini kwa wengine hiyo sio sawa!!

Watalii wanne wamejikuta wakiingia kwenye Headlines za vyombo vikubwa vya Habari Duniani kama Sky News, BBC na CNN, ishu ni kitendo cha Watalii hao kuvua nguo wakati wanatalii juu ya Mlima Kinabalu ulioko Malaysia, alafu wakapiga picha wakiwa hawajavaa nguo kabisa !!

Mwongozaji wa Watalii hao aliwaambia lakini kwamba ishu ya kuvua nguo sio poa kabisa kwa Malaysia na Sheria zao, majibu yao hayakuwa mazuri>>> “shut up” and “go to hell“.

Jamaa hao walianza kama utani yani kutaniana nani ataweza kuvua nguo alafu wapige picha, matokeo yake wote wanne wakavua.. Mitandao ikakuza story mwisho wake kesi yao inaendelea Mahakamani.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top