Featured

    Featured Posts

    Social Icons


Loading...

UGONJWA UNAOSHAMBULIA MFUMO WA UPUMUAJI WASABISHA SHULE 700 KUFUNGWA

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Zaidi ya shule 700 Korea Kusini zimefungwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa uliozuka kwa ugonjwa unaoshambulia mfumo wa upumuaji uliozuka kutoka Mashariki ya kati wa MERS

Watu watatu hadi sasa wanadaiwa kufa kutokana na ugonjwa huo ambapo pia watu wengine 35 wamebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya ugonjwa huo.

MERS ni mara ya kwanza kugunduliwa nje ya Saudi Arabia, kwani miaka mitatu iliyopita mgonjwa wa kwanza aligunduliwa huko Mashariki ya Kati.
Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye amehimiza jitihada zaidi kukabiliana na ueneaji wa virusi vya ugonjwa huo.

Raia wa Korea kwa sasa wamekumbwa na wasiwasi kutokana na ugonjwa huo wa SARS ulioua mamia ya watu huko Kaskazini Mashariki mwa Asia zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top