Featured

    Featured Posts

Loading...

MWANAMKE AKAMATWA AKIWA KWENYE ARAKATI ZA KUIBA MTOTO HOSPITALINI

Naomba nikushirikishe na wewe pia kwamba kuna mambo mengi na mazuri ndapi ya picha iliyopo hapo chini ibofye uone.
Hekaheka hii imeendelea kwenye ile ambayo ilisikika jana JUNE 03 2015.. Ishu ilikuwa mwanamke mmoja kukamatwa akiwa na jitihada za kutaka kuiba mtoto mchanga katika Hospitali ya Mwananyamala Dar.. kisa akasema kwamba ndugu wa mume wake wamekuwa wakimlazimisha azae.

Mama mkwe wa mwanamke huyo ameongea leo, amesimulia ilivyokuwa kwamba waliwahi kumpeleka Hospitali lakini akawatoroka.
Baada ya siku mbili akawapigia simu kwamba yuko Hospitali ya Mwananyamala amejifungua mtoto njiti.. mama mkwe akapata hofu kwa vile hakuwa anaonekana kama ni mjamzito.
Baadae katika kufanya mawasiliano wakampata daktari wa Hospitali hiyo na kumwomba awe makini na mwanamke huyo kwa vile wanahisi hana lengo zuri.

Baada ya kufika na kumhoji alikubali kwamba ni kweli alikuwa kwenye mpango wa kuiba mtoto. Bado mwanamke anashikiliwa na Polisi kwa mahojiano.

Sehemu nyingine ya Hekaheka hiyo ni kesho, Geah Habib kasema kesho atasikika mume wa mwanamke huyo.
Usikose kuangalia Movies mbalimbali kutoka kila kona ya dunia, bofya kwenye picha iliyopo hapo chini kuona izo muvies
Nobody is a total failure if he dares to try to do something worthwhile. Tough times never last, but tough people do. The place broke up with applause. Those thirty - five hundred farmers who had lost hope and had battled depression found that hope.

Share habari hii kadri uwezavyo.

Contact us on mutalemwa.oesmo@gmail.com. Powered by Blogger.
© Copyright Mutalemwa Blog
Back To Top